Habari RFI-Ki

Dunia yaadhimisha siku ya Valentine

Sauti 09:39
RFI

Leo katika makala haya ya Habari Rafiki utapata mitazamo tofauti kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu siku ya wapendanao duniani maarufu kama Valentine's Day ambayo huadhimishwa Februari 14 kila mwaka kote Ulimwenguni vilevile utafahamu namna baadhi ya nchi zinavyosherehekea siku hii.Kwa kupata undani wa hayo yote ungana na mtayarishaji na msimulizi wa makala haya Sabina Nabigambo.............