Mawaziri wapya nchini Tanzania waapishwa
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:42
Mtangazaji wa makala haya hii leo, ameangazia sherehe za kuapishwa kwa mawaziri wapya nchini Tanzania, pamoja na kuapishwa kwa wabunge nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.