Habari RFI-Ki

Wananchi wa Ufaransa watarajie nini baada ya ushindi wa Francois Hollande?

Sauti 09:55
François Hollande
François Hollande REUTERS/Jean-Paul Pelissier

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia ushindi ambao ameupata kiongozi wa chama cha Kisocialist Francois Hollande dhidi ya Nicolas Sarkozy aliyeshindwa kwenye uchaguzi huo.