Jua Haki Zako

Filamu

Imechapishwa:

Tasnia ya filamu Tanzania ni sekta inayoingiza kipato sana, lakini haki za wale wasanii kupata faida ya yale walioyafanya haipo, je, kulikoni? Uwizi kwa sana, Wadau kutoka ndani na nje ya nchi wanateta nasi.

Moja ya Kazi za Wasanii wa Tasnia ya Filamu nchini Tanzania
Moja ya Kazi za Wasanii wa Tasnia ya Filamu nchini Tanzania
Vipindi vingine