Habari RFI-Ki

Familia

Sauti 09:55
Mahusiano mema hujenga Familia Bora inayowajibika
Mahusiano mema hujenga Familia Bora inayowajibika

Habari rafiki leo hii imejikita katika siku ya familia duniani,Lengo likiwa ni kuhamasisha na kukumbusha jamii juu ya kuwajibika kwa familia ili kuimarisha na kuendeleza jamii.Kauli mbiu ni UWAJIBIKAJI SAWA KATIKA MAJUKUMU NI MSINGI WA FAMILIA BORA.Wasikilizaji wamechangia maoni yao juu ya changamoto zinazozuia ujenzi wa familia bora kwa kuzingatia kila mwanafamilia anawajibu ndani ya familia,akiwemo baba,mama na watoto.