Habari RFI-Ki

Sensa

Sauti 10:00
Afisa wa Zoezi la Uhesabuji watu na Makazi akitekeleza kazi yake.
Afisa wa Zoezi la Uhesabuji watu na Makazi akitekeleza kazi yake.

Makala ya Habari Rafiki inaangazia zoezi la Sensa ya Watu na Makazi na  Umuhimu wake katika Mipango ya Maendeleo. Katika Makala haya Mtayarishaji anataka kujua watu wanafahamu nini kuhusu Sensa ya watu na Makazi.