Jua Haki Zako

jua haki zako tanzania

RFI

Je, Watanzania tunaifahamu vipi Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Tupo tayari kwa mchakato wa katiba mpya? Watanzania mbali mbali wanateta kwenye makala haya.