Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Usafi wa mazingira

Sauti 09:49

Usafi wa mazingira ni moja ya njia ya kuendeleza afya njema ya binadamu, Kutokana na shughuli za kiuchumi na za jamii ambazo, kwa njia moja au nyingine, zimekuwa zikichangia kuongezeka kwa mabwawa ya maji taka katika miji yetu.Basi makala yako ya mazingira leo Dunia yako kesho itangazia juu Teknologia mpya ya kutibu maji taka katika ijii yetu