Habari RFI-Ki

Wabunge wa Kenya

Sauti 10:03

Wabunge wa Kenya waliohama vyama vyao vya kisiasa wametakiwa waachie ngazi katika nafasi zao za ubunge. Je wabunge hao watakubaliana na hali hiyo na wanahaki ya kisheria kufanya kuendelea kukaa na nafasi zao.