Gurudumu la Uchumi

Kashfa ya ufisadi Sudan Kusini inavyoathiri uchumi wa taifa hilo changa

Sauti 08:54

Makala ya Gurdumu la Uchumi yanaangazia namna kashfa ya ufisadi ya kupotea kwa Dola bilioni 4 kunaweza kuathiri uchumi wa taifa la Sudan Kusini