Habari RFI-Ki

Mzozo wa Somalia, Marekani yatishia vikwazo kwa viongozi

Sauti 10:00
rais wa Somalia Cheikh Sharif Ahmed wakati wa mkutano jijini Istamboul Uturuki kuhusu Somalia
rais wa Somalia Cheikh Sharif Ahmed wakati wa mkutano jijini Istamboul Uturuki kuhusu Somalia

Habari Rafiki jumatatu hii tunazungumzia kuhusu mzozo wa Somalia, Marekani imetishia kuwawekea vikwazo viongozi wa Somalia wataovuruga harakati za amani katika nchi hiyo yenye mzozo wa wenyewe kwa wenyewe tangu miongo kadhaa