Afrika Ya Mashariki

Mtazamo wa raia wa Kenya kwa wananchi wa Somalia waishio nchini Kenya

Sauti 08:57

Makala ya Afrika Mashariki leo tunazungumzia kuhusu mtazamo wa raia wa Kenya kwa raia wa Somalia waishio nchini Kenya, hususan katika nyakati hizi za mashambulizi yanayo wahusisha wapiganaji wa Somalia wa Al Shabab