Habari RFI-Ki

Badgeti ya nchi za Afrika Mashariki

Sauti 09:30
Wabunge wa EAC kutoka Tanzania
Wabunge wa EAC kutoka Tanzania

Habari Rafiki leo tunazungumzia kuhusu badgeti ya nchi za ukanda wa Afrika mashariki inayo tarajia kusomwa kesho alhamisi. ambatana nasi mwanzo hadi tamati