Kufungwa kwa mahakama za kijadi za 'Gacaca' nchini Rwanda
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 08:48
Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia hatua ya nchi ya Rwanda kutangaza rasmi kuzifunga mahakama za kijadi za 'Gacaca' ambazo zilikuwa zinasikiliza kesi za watuhumiwa wa mauaji ya halaiki yaliyotokea nchini Rwanda mwaka 1994.