Habari RFI-Ki

Ongezeko la wahamiaji kutoka barani Afrika kwenda Ulaya

Sauti 09:21
Reuters

Mtangazaji wa makala hii, hii leo ameangazia wimbi la wahamiaji haramu ambao wanatoka kwenye nchi za bara la Afrika na kukimbilia Ulaya kwa lengo la kutafuta maisha.