Mjadala wa Wiki

Kufungwa kwa mahakama za kijadi za 'Gacaca' nchini Rwanda

Sauti 12:18
Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Rais wa Rwanda, Paul Kagame Reuters

Hii leo kwenye makala ya Mjadala wa Wiki tumeangazia hatua ya nchi ya Rwanda kutangaza rasmi kuzifunga mahakama zake zote za kijadi za Gacaca kama njia mojawapo ya kuonesha hivi sasa kumepatikana suluhu ya kitaifa nchini humo mara baada ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1994.