Habari RFI-Ki

Tuhuma za DRCongo dhidi ya Marekani kwa kuilinda Rwanda

Sauti 09:55
waasi wa CNDP
waasi wa CNDP AFP PHOTO / LIONEL HEALING

Serikali ya DRCongo yaituhumu Marekani kuzuia Umoja wa Mataifa isichapishe ripoti ya Umoja wa Mataifa inayo ituhumu serikali ya Rwanda kuwasaidia waasi wa kundi la M23 mashariki mwa DRcongo