Habari RFI-Ki

Mwaka mmoja baada ya kuangushwa kwa utawala wa Mubark nchini Misri

Sauti
Rais wa Misri Mohamed Morsi
Rais wa Misri Mohamed Morsi

Habari Rafiki, leo tunazungumzia kuhusu mwaka mmoja baada ya kuangushwa kwa utawala wa rais Hosni Mubarak nchini Misri