Afrika Ya Mashariki

Wananchi wa Afrika Mashariki wakabiliwa na changamoto mbalimbali

Sauti 09:22

Wananchi wa nchi za Afrika Mashariki wanakabiliwa na changamoto mbalimbali kila uchao na kwammba jitihada za kuwakwamua zinahitajika ili waweze kukabiliana na changamoto hizo. Je ni chagamoto gani hizo? Fuatilia makala haya ya Afrika Mashariki upate undani wa suala hilo.