Gurudumu la Uchumi

Bajeti za nchi za Afrika Mashariki zawekwa bayana

Sauti 09:03
RFI

Bajeti za nchi za Afrika Mashariki ziliwasilishwa hivi karibuni katika mabunge ya nchi husika na kutoa mwelekeo wa vipaumbele vya safari ya maendeleo katika nchi hizo ambazo zinakabiliwa na changamoto kubwa katika bajeti hizo na hususana katika sekta za kilimo. Makala ya Gurudumu la Uchumi leo hii yatamulika bajeti hizo.