Habari RFI-Ki

Burundi yaadhimisha miaka 50 ya uhuru

Sauti 10:02
Photo: Martin H

Nchi ya Burundi Julai Mosi, inadhimisha miaka 50 ya Uhuru huku nchi hiyo ikikabiliwa na chanagamoto mbalimbali, fuatilia makala haya ya Habari Rafiki ili upate kujua kwa undani kuhusu wananchi wa Burundi wanavyoitazama nchi yao na mustakabali wa baadaye.