Matumizi ya pombe haramu

Sauti 09:51
Polisi wakamata pombe haramu
Polisi wakamata pombe haramu

Pombe haramu inavyotishia maisha ya wananchi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na kati, ambapo wiki hii watu kadhaa wameuawa kutokana na kutumia pombe haramu