Visiwa vya Migingo na mvutano wa Kenya na Uganda

Sauti 09:30

Visiwa vya Migingo vilivyoko Ziwa Victoria bado vinaleta msigano kati ya Uganda na Kenya huku kila upande ukijinadi kuwa kisiwa hicho ni mali yake. Fuatilia sehemu ya pili ya makala haya kuhusu visiwa vya Migingo.