Rais Kabila akiri Rwanda kuwaunga mkono waasi wa kundi la M23

Sauti 09:38
rais Joseph Kabila wa DRCongo na Paul Kagame wa Rwanda
rais Joseph Kabila wa DRCongo na Paul Kagame wa Rwanda

Habari Rafiki, tunazungumzia kuhusu hali inayoendelea mashariki mwa jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya Joseph Kabila kukiri kuwa Rwanda inawafadhili waasi wa kundi la M23