Habari RFI-Ki

Mgogoro wa kimipaka kati ya Tanzania na Malawi

Sauti 09:45
Rais wa Malawi Joyce Banda
Rais wa Malawi Joyce Banda AFP

Mtangazaji wa makala haya juma hili amezungumzia tatizo la migogoro barani Afrika ambapo imeshuhudiwa nchi zikigombea maeneo yenye utajiri wa mafuta au madini, kama vile mgogoro wa Sudan na Sudan Kusini, Kongo na Rwanda pamoja na Malawi na Tanzania.