EBOLA UGONJWA UNAOIWEKA PABAYA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Sauti 09:25
RFI

Ugonjwa wa Ebola umekuwa tishio kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati huku jitihada mbalimbali zikifanywa ili kukabiliana na ugonjwa huo. Unajua nini kuhusu ugonjwa huo hatari? Makala ya Afrika Mashariki leo hii inamulika kwa undani ugonjwa huo na utajifunza mengi.