Mauaji ya wakulima na wafugaji nchini yatikisa Kenya

Sauti 10:03
RFI

Mapigano makali yalizuka na kuua watu zaidi ya hamsini nchini Kenya huku watu wengine wakijeruhiwa. Nini kilitokea mpaka kufikia hatua hiyo? Fuatilia makala ya Habari rafiki ikifuatilia kwa undani suala hilo.