Ufugaji wa nyuki na athari zake katika utunzaji wa mazingira

Sauti 10:03
Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho.
Mtayarishaji na Mtangazaji wa makala ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho. © RFI Kiswahili.

Ufugaji wa nyuki unaonekana kuwa na tija kutokana na kusaidia kukua kwa kipato cha watu na nchi. Si hivyo tu bali pia ufugaji nyuki umekuwa ni chanzo cha kusaidia utunzanji wa mazingira. Fuatilia makala haya ya Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho.