Afrika Ya Mashariki

Migogoro ya familia ndani ya Afrika Mashariki

Sauti 09:26

Migogoro katika familia ndani ya nchi za Afrika Mashariki ni tatizo ambalo linapaswa kutafutiwa ufumbuzi huku chanzo kikubwa kimojawapo kikielezwa kuwa ni ndoa zenye wake wengi. Makala ya Afrika Mashariki leo inaangazia kwa kina suala hilo.