Siha Njema

Msongo wa mawazo tatizo linaloathiri watu wengi

Sauti 09:41
Na: Ebby Shabani Abdallah
Dakika 10

Tatizo la msongo w mawazo ni tatizo ambalo huwakumba watu wengi na hata kuwasababisahia magonjwa mengine. Je unajua kuwa kila mtu ana tatizo la msongo wa mawazo kwa kiasi fulani? Fuatilia makala haya ya Siha Njema ili upate kujifunza mengi ikiwa ni pamoja na njia ya kukabiliana na tatizo hilo.