MUZIKI WA BONGO FLEVA WAENDELEA KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI

Sauti 10:01
Muziki ijumaa
Muziki ijumaa © Studio graphique FMM

Muziki Ijumaa leo hii inakupa burudani ya muziki wa Bongo Fleva muziki ambao unaendelea kupanda chati na kuvuta hisia za mashabiki wa muziki hususan vijana. Fuatailia makala haya ya Muziki Ijumaa ili ujue ni mwanamuziki gani amepata nafasi ya kutupa burudani ndani ya Makala haya ukijivinjarinaye matayarishaji na mtangazaji Lizzy Masinga.