Wanaeshi wa Kenya nchini Somalia
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:40
Vikosi vya Kenya nchini Somalia vinatimiza mwaka mmoja tangu kuwepo katika aridhi ya Kenya katika Operesheni Linda nchi na baadae kujiunga na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM