Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Muhogo zao linakabiliwa na ugonjwa

Sauti 10:14

Muhogo ni zao muhimu sana kwa chakula kwa nchi nyingi za Afrika, kilimo cha zao hili huhitaji ujuzi kidogo sana na ni rahisi kulima. Zao hili hustahimili ukame na huweza kubakia ardhini kwa muda mrefu, makala ya Mazingira Leo, Dunia yako Kesho, juma hili imejikita kuangazia juu ya magonjwa ambayo yamekuwa yakiathiri zao hili katika nchi zetu za Afrika Mashariki na Kati