Habari RFI-Ki

Tatizo la mapigano baina ya wafugaji na wakulima katika nchi za Afrika Mashariki ni changamoto nzito

Sauti 09:57
RFI

Tatizo la mapigano baina ya wafugaji na wakulima katika nchi za Afrika Mashariki na Kati limekua likiongezeka kutokana na pande hizo mbili kugombea ardhi. Migogoro kama hiyo inaweza kuwa mwiba wa shughuli za maendeleo katika nchi hizo. Makala ya Habari Rafiki leo itaangazia suala hilo.