Habari RFI-Ki

Uganda yakiri kufanya mazungumzo na kundi la waasi wa M23

Imechapishwa:

Hivi karibuni Serikali ya Uganda ilikiri kuwa imekuwa ikifanya mazungumzo na kundi la waasi wa M23 ikiwa na lengo la kuwahamasisisha waasi waachane na vita na kutaka kujua kwa nini waasi wanafanya mapigano huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo na si vinginevyo. Makala ya Habari Rafiki inaangazia suala hilo na kutaka kujua mtazamo wa wasikilizaji wetu.

REUTERS/James Akena
Vipindi vingine