Gurudumu la Uchumi

Dhana ya uchumi kukua wakati wananchi wanaendelea kuwa masikini bado yaleta mkanganyiko

Sauti 09:34

Dhana ya kukua kwa uchumi wa nchi huku wananchi wakisumbuliwa na hali ngumu ya maisha na umasikini bado ni mkanganyiko mkubwa miongoni mwa jamii. Tanzania ni moja nchi ambayo uchumi wake unatajwa kukua wakati wananchi bado wanalalamikia umasikini. Makala ya Gurudumu Uchumi inaangazia suala hilo.