Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Kenya

Sauti 09:28

Mazingira ni muhimu kwa uhai wa binadamu na yastahili kulindwa ili kuwasaidia binadamu na shughuli zao za kila siku. Katika nchi yoyote ni muhimu kuwa na sera na sheria zinazolinda mazingira. Makala ya Mazingira Leo inaangazia sera na sheria za mazingira nchini Kenya.