Fistula ugonjwa unaopaswa kupigwa vita kuwaokoa akina mama

Sauti 10:04

Ugonjwa wa Fistula badi tatizo linalowaathiri wanawake hususan barani Afrika ambapo serikali zinalazimika kufanya jitihada mbalimbali ili kuwasaidia wanawake hasa wanaojifungua na kupatwa na tazo hilo. Makala ya Siha Njema inaangazia ugonjwa wa Fistula.