Habari RFI-Ki

Ukeketaji na mtazamo

Sauti 09:48
RFI

Ukeketaji suala ambalo bado ni kitendawili kisichoteguka kwani pamoja na jitihada zote zinazofanywa ili kukomesha mila hizo bado kuna maeneo na jamii amzazo zinatekeleza mila hizo hususan katika nchi za Afrika Mashariki. Je unajua kwa nini ukeketaji una athari gani kwa wale wanaofanyiwa vitendo hivyo? Makala haya ya Habari Rafiki yatakujuvya kwa kina juu tatizo hilo.