Harakati za wanasiasa nchini Kenya zapamba moto
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 09:40
Harakati za wanasiasa nchini Kenya zinapamba moto huku wanasiasa mbalimbali wakipanga kuungana ili kujiimarisha kisiasa. Je miungano hiyo ina tija kwa siasa za kenya? Makala ya Habari Rafiki inaangazia siasa za Kenya kuelekea uchaguzi.