Gurudumu la Uchumi

Umoja wa nchi za Afrika Mashariki bado unakabiliwa na changamoto nyingi

Sauti 09:47

Jumuiya ya Afriak Mashariki, EAC bado unakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zinalazimika kufanyiwa kazi ili umoja huo uwe na maana halisi katika kufanikisha malengo yaliyowekwa. masuala kama soko la pamoja, forodha na sarafu moja ni mambo ambayo yanalazimika kuangaliwa kwa karibu zaidi. Makala ya Gurudumu la Uchumi leo hii yanaangazia mkutano wa wakuu wa nchi za EAC mjini Nairobi nchini Kenya.