Karibu kwenye Makala ya Jua Haki Zako na Karume Asangama
Vipindi vingine
-
Jua Haki Zako Hali ya haki za binadamu nchini Tanzania Shirika la kimataifa la kutetea haki za bindamu Amnesty Internatonal limeeleza wasiwasi wake kuhusu namna serikali ya Tanzania inavyotumia nguvu kupita kiasi kufurusha jamii ya Maasai ambayo inaishi eneo la Ngorongoro na Loliondo.15/05/2023 09:51
-
Jua Haki Zako Kenya : Haki ya kupiga kura kuwachagua viongozi Taifa la Kenya linashiriki uchaguzi mkuuu wito ukitolewa kile pembe ya taifa hilo na raia kujitokeza kwa wingi kushiriki jukumu lao la kikatiba na pia haki yao ya kuwachagua viongoziKatika katika Makala haya utaskia kutoka kwa Jame Ciera, kutoka sharia la Twaweza East Africa, Hellen Mudora kutota Urai Trust na Amina Mohamed kutoka tume ya uchaguzi nchini Kenya, IEBC, wote hao wakiwa mstari wa mbele kuhamasisha wakenya kushiriki uchaguzi wa mkuu kwa kuwachagua viongozi.07/08/2022 09:59
-
Jua Haki Zako Haki za walemavu nchini Uganda na Tanzania Mkataba wa haki za watu wanaoishi na ulemavu ulianza kutekelezwa disemba 13 mwaka 2006, dunia ikitambua rasmi watu wanaoshi na ulemavu, na pia kutaka watu hao kupewa haki sawa kama raia raia wa kawaida.11/07/2022 09:50
-
Jua Haki Zako Haki za wanajumuiya Afrika Mashariki Wiki hii tunaangazia haki za wananchi kutoka mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na tunathathmini Jumuiya hiyo kwa kina.02/08/2021 09:59
-
Jua Haki Zako Idadi kubwa ya wakenya hawafahamu nia ya serikali kutaka kufanyia katiba marekebisho katika Makala haya tunajikita nchini Kenya ambapo mchakato mzima wa kufanyia katiba marekebisho umekwama kutokana na hatua ya mahakama kuu nchini humo kusimamisha mchakato huo kwa msingi kuwa wanzilishi wa mchakato huo rais Uhuru Kenyatta, na kingozi wa upinzani Raila Odinga, hakufuata sheria wakati wakianzisha mchakato huo.Benson Wakoli amelizamia swala hili katika makala haya06/07/2021 09:57