Afrika Ya Mashariki

Uchaguzi Mkuu nchini Kenya

Sauti 09:21

Makala ya Afrika Mashariki wiki hii yanaangazia maandalizi ya Uchaguzi Mkuu nchini Kenya tarehe 4 mwezi Machi mwaka 2013.Ungana na Julian Rubavu kwa uchambuzi wa kina