Jua Haki Zako

Vijana na malengo ya milenia

Sauti 09:07
Reuters

Mtangazaji wa makala haya juma hili amezungumza na vijana na kutazama namna ambavyo wanatambua haki zao za kufikia malengo ya Milenia kama yalivyoanishwa kwenye mkataba wa Umoja wa Mataifa.