Afrika Ya Mashariki

Amani

Imechapishwa:

Makala ya Afrika ya mashariki juma hili inaangazia Hatua ya Serikali ya Kinshasa kutoa wito kwa Raia na Makundi ya Wapiganaji wenye silaha kuunganisha nguvu ili kuleta na kulinda Amani nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Ungana na Julian Rubavu.

Rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila
Rais wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila Reuters/Tiksa Negeri