Habari RFI-Ki

Kupandishwa kizimbani kwa Bosco Ntaganda

Sauti 09:52
Bosco Ntaganda devant la CPI a comparu pour la première fois devant la CPI ce mardi 26 mars.
Bosco Ntaganda devant la CPI a comparu pour la première fois devant la CPI ce mardi 26 mars. REUTERS/Peter Dejong/Pool

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia hatua ya kupandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza kwa aliyekuwa kiongozi wa waasi mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya kongo DRC, Bosco Ntaganda.