Habari RFI-Ki

M 23

Sauti 09:53
Kiongozi wa jeshi la M23 Sultanu Makenga
Kiongozi wa jeshi la M23 Sultanu Makenga REUTERS/James Akena

Makala haya yanaangazia juu ya Taarifa za Mzozo ambao unaelezwa kuwepo ndani ya kundi la Waasi wa M23, ambao wamekuwa wakishutumiwa kuhatarisha usalama ndani ya Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.