Afrika Ya Mashariki

Mjadala wa kisiasa nchini Burundi sehemu ya pili

Sauti 09:15
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza AFP/Pierre Andrieu

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameendelea na sehemu ya pili ya makala iliyopita akitazama mazungumzo ya kisiasa yaliyofanyika nchini Burundi juma moja lililopita.