Mjadala wa Wiki

Uchaguzi

Sauti 17:33
Wagombea Urais nchini Kenya wakiwa katika Mdahalo wa pamoja
Wagombea Urais nchini Kenya wakiwa katika Mdahalo wa pamoja Reuters/Stringer

Mjadala wa Leo unaangazia, Uchaguzi wa nchini Kenya ambapo Raia wa Kenya wanatarajiwa kupiga kura juma lijalo Tarehe 4 Mwezi March.