Mjadala wa Wiki

kupinduliwa kwa serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati

Imechapishwa:

hii leo kwenye mjadala wa wiki hapa RFI Kiswahili tunaangazia hali ya kisiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati mara baada ya kupinduliwa kwa Serikali iliyokuwa inaongozwa na rais Francois Bozize na waasi wa Seleka.

les rebelles de la seleka
les rebelles de la seleka RFI/Cyril Bensimon
Vipindi vingine